HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021
Tanzania
29
Nilianza kutumia app ya Boomplay rasmi mnamo mwaka 2017 mwezi wa 10 tarehe 30. Nina siku 1463 ndani ya Boomplay app.
Ndani ya mwaka 2021 nimesikiliza nyimbo zipatazo 5765 ambazo ni takribani masaa 288.5 zaidi ya mwaka uliopita ambapo ilikuwa masaa 229.5
Wastani wangu wa kusikiliza nyimbo mwaka 2021 ni 47.5 kwa dakika ambayo ni sawa na asilimia 86%.
Nyimbo ya Joeboy - Sip(Alcohol) ndio nyimbo yangu pendwa kwa mwaka 2021.
Na hizi ni aina ya muziki nilio sikiliza sana kwenye app ya Boomplay Bongo Flava ikichukua nafsi kwa upande wa nyumbani Tanzania.
Tiësto ndio msanii wangu pendwa ndani ya mwaka 2021 ndani ya Boomplay app.
Nyimbo ya Tiësto Don't Be Shy ft. KAROL G nimeisikiliza mara 783 kwenye app ya Boomplay.
Nimekuwa nikisikiliza sana nyimbo za nje kuliko za nyumbani kutokana na asilimia zilivyo, nyimbo nje nimesikiliza mara 57% huku nyimbo za nyumbani ni 43%.
Nimekuwa miongoni mwa watumiaji wa mwanzo kumgundua msanii huyu (Yemi Rush) na kusikiliza kazi zake ndani ya app ya Boomplay.
Na huu ulikuwa usiku wangu wa mwisho kuisikiliza hii nyimbo ya Tiëto mnamo tarehe 08/08/2021 saa 8 kasoro majira ya usiku.
Kama ujapata kujua namna na kuangalia My Boompay Recap bonyeza kwenye linki hapa chini itakupeleka moja kwa moja sehemu usika.
My Boomplay Recap 2021
Asanteni nyote mlio fika na kusoma article hii.
#MyBoomplayRecap2021 #francischbydpost #WriteOriginalPosts

Comments (29)
0/500
New Comments(29)
ChileoNation
francischbyd:
Yes, bro am a legend
gregutalor
good stats
francischbyd
@ChileoNation:
Yes, bro am a legend
ChileoNation:
Waaaaaaaaaaawwww! Bro so you began using Boomplay since 2017[0x1f631][0x1f631]
ChileoNation
Waaaaaaaaaaawwww! Bro so you began using Boomplay since 2017[0x1f631][0x1f631]
Sports in blood
congratulations
prettyliz9fq
wow congratulations [0x1f636][0x1f630] that's nice
¢ountdowπ | $po®tz
umetisha sana!!!!!
Mwl Joshua Samson Fulano
great
Najjuma Hardijja
cool
AmosCodeX
oops col
Marrionliz
made it
PRINCESSAUDREY
congratulations
Enjoy yourself bro ❣️[0x1f61f][0x1f61f][0x1f61f][0x1f604]