Loading...

Download

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Nilianza kutumia app ya Boomplay rasmi mnamo mwaka 2017 mwezi wa 10 tarehe 30. Nina siku 1463 ndani ya Boomplay app.

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Ndani ya mwaka 2021 nimesikiliza nyimbo zipatazo 5765 ambazo ni takribani masaa 288.5 zaidi ya mwaka uliopita ambapo ilikuwa masaa 229.5

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Wastani wangu wa kusikiliza nyimbo mwaka 2021 ni 47.5 kwa dakika ambayo ni sawa na asilimia 86%.

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Nyimbo ya Joeboy - Sip(Alcohol) ndio nyimbo yangu pendwa kwa mwaka 2021.

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Na hizi ni aina ya muziki nilio sikiliza sana kwenye app ya Boomplay Bongo Flava ikichukua nafsi kwa upande wa nyumbani Tanzania.

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Tiësto ndio msanii wangu pendwa ndani ya mwaka 2021 ndani ya Boomplay app.

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Nyimbo ya Tiësto Don't Be Shy ft. KAROL G nimeisikiliza mara 783 kwenye app ya Boomplay.

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Nimekuwa nikisikiliza sana nyimbo za nje kuliko za nyumbani kutokana na asilimia zilivyo, nyimbo nje nimesikiliza mara 57% huku nyimbo za nyumbani ni 43%.

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Nimekuwa miongoni mwa watumiaji wa mwanzo kumgundua msanii huyu (Yemi Rush) na kusikiliza kazi zake ndani ya app ya Boomplay.

HII NI MY BOOMPLAY RECAP 2021 Na huu ulikuwa usiku wangu wa mwisho kuisikiliza hii nyimbo ya Tiëto mnamo tarehe 08/08/2021 saa 8 kasoro majira ya usiku.

Kama ujapata kujua namna na kuangalia My Boompay Recap bonyeza kwenye linki hapa chini itakupeleka moja kwa moja sehemu usika.
My Boomplay Recap 2021

Asanteni nyote mlio fika na kusoma article hii.
#MyBoomplayRecap2021 #francischbydpost #WriteOriginalPosts

Comments (29)

0/500

    New Comments29

    ChileoNation

    @francischbyd:

    Enjoy yourself bro ❣️[0x1f61f][0x1f61f][0x1f61f][0x1f604]

    francischbyd:

    Yes, bro am a legend

    Nigeria

    gregutalor

    good stats

    Nigeria

    francischbyd

    @ChileoNation:

    Yes, bro am a legend

    ChileoNation:

    Waaaaaaaaaaawwww! Bro so you began using Boomplay since 2017[0x1f631][0x1f631]

    Tanzania

    ChileoNation

    Waaaaaaaaaaawwww! Bro so you began using Boomplay since 2017[0x1f631][0x1f631]

    Nigeria

    Sports in blood

    congratulations

    Tanzania

    prettyliz9fq

    wow congratulations [0x1f636][0x1f630] that's nice

    Kenya

    ¢ountdowπ | $po®tz

    umetisha sana!!!!!

    Tanzania

    Mwl Joshua Samson Fulano

    great

    Tanzania

    Najjuma Hardijja

    cool

    Uganda

    AmosCodeX

    oops col

    Nigeria

    Marrionliz

    made it

    Uganda

    PRINCESSAUDREY

    congratulations

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status